VIONGOZI WALIOWAHI KUKATALIWA NA BAADAE KUWA VIONGOZI MUHIMU SANA KI TAIFA NA KIMATAIFA

Rais Barack Obama Kiongozi wa Karne, alikataliwa na Viongozi wa Chama Chake .. Eti kwa kuwa ni Mtu weusi, Hajulikani, hana Historia Marekani, Ni mgeni kwenye Siasa. Ila aliwajibu Wamarekani Wako tayari kunichgua bila kujali yote msemayo kwani Wa Marekani wanaitaji Kiongozi Bora na si hayo Wasemayo. Leo ni Rais wa Bara la amerika Kaskazini

Hayati Nelson Mandela Shujaa wa Africa na Raisi wa Kwanza Mweusi wa Afrika ya Kusini alikataliwa, aliitwa Gaidi na Makaburu wakamfunga Jela , hatimae akawa Raisi na ni kati ya waafrika wachache walioweza kumkemea mzungu waziwazi

Mh Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini alikataliwa, Alizushiwa mengi, wakamfungulia kesi nyingi, wakamvua Ubunge na  wakamtupa Jela mara kadhaa, hatimae walikubali Ukweli yeye ndie chaguo la Watanzania wa Arusha na ni kati ya wabunge wachache wanaoweza kumkemea Uovu waziwazi

Robert Mugabe raisi wa Zimbabwe alikataliwa na Waingereza wakamfunga Jela , hatimae akawa raisi na ni kati ya waafricka wachache wanaoweza kumkemea mzungu waziwazi

0 Comments