HONGERENI CHADEMA JIJI LA ARUSHA KWA KAZI NZURI

Muuguzi Mkuu wa Jiji, Sister Jeni Bara akimpongeza Mh Diwani kwa kazi yao nzuri ya kuwezesha Jiji kuwa na Hospitali ya Mama na Mtoto

Muuguzi Mkuu wa Jiji, Sister Jeni Bara akimwonyesha ukarabati wa jengo la zamani la mama na mtoto Levolosi

Ukarabati wa jengo la zamani la mama n mtoto Levolosi unaendelea vema

0 Comments