Mh Ephata Nanyaro Diwani wa Kata ya Levolosi akikaribishwa kukagua Ujenzi, Vifaa na Hadhi ya Hospitali ya Mama na Mtoto Levolosi |
Mh Ephata Nanyaro Diwani wa Kata ya Levolosi akipokea maelezo toka kwa Dk Naaman Hosea Mtaalamu wa Upasuaji na Uzazi kuhusu chumba cha upasuaji, vifaa vitakavyokuwepo na huduma nzima ya uzazi. |
Dk Naaman Hosea Mtaalamu wa Upasuaji na Uzazi akiendelea kumpa somo Mh. Diwani kuhusu chumba cha upasuaji, vifaa vitakavyokuwepo na huduma nzima ya uzazi. |
Dk Naaman Hosea akimwelezea kuhusu chumba cha kupumzikia mama na mtoto baada ya kujifungua kwa upasuaji. |
Ukaguzi unaendelea |
Wauguzi nao waliendelea na maandalizi ya kuwezesha Hospitali kufunguliwa na Mh. Rais mapema iwezekanavyo |
0 Comments