FAIDA YA CHADEMA JIJI LA ARUSHA

Hospitali hii inatarajiwa kufunguliwa na Rais wa Jakaya Kikwete hivi karibuni ni moja kati ya miradi iliyopiganiwa na Diwani wa Levolosi na Chadema kwa Ujumla kuhakikisha usalama wa afya ya mama na mtoto.
Mh Ephata Nanyaro Diwani wa Kata ya Levolosi akikagua jengo la Hospitali ya Huduma ya Afya ya Uzazi na Mtoto Levolosi.

Hospitali hii imesheheni vitanda vya kisasa

Fundi akijitahidi kuunganisha Vifaa vya kisasa katika Hospitali ya Mama na Mtoto Levolosi.

0 Comments