BIASHARA YA UTUMWA YAANZA TENA TANZANIA


Askari wa uhamiaji wamewakamata watu 14 katika maeneo ya Msasani jijini Dar es Salaam kutoka nchini India na Nepal ambao ni wahanga wa biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu ambapo watu hao wameingia nchini kinyume na taratibu za uhamiaji..

0 Comments