GARI LAGONGA BENKI - CRDB DAR

Nimeishuhidia kaka..huyu dada ni manager wa tawi la mandela CRDB na ilikuwa reporting tym asubuhi tawi kubwa la CRDB Moro branch na manager mkuu alikuwa amefika na huyu dada nae akawa anaingia anajaribu kupark fasta amwahi boss wake ..si unajua tena ile hali yawoga kufika baada ya boss.ndo yamemkuta hayo majanga..matawi yote ya crdb mjini hureport tawi kubwa kabla ya kwenda kwenye vituo vyao

0 Comments