|
Wilson Clement Msasa |
|
|
Ni kijana mkazi wa kata ya Sombetini, mtaa wa Kirika A, ni mbunifu wa vifaa mbalimbali hasa vya "Kilimo" anatafuta msaada wa kumwezesha kupata Elimu ya Ufundi. Pia katika Karakana Mbalimbali za SIDO angeweza kuajiriwa huku angetoa mchango mkubwa wa Ubunifu wa Vifaa kama unavyoviona hapa chini mfano mashine ya Uchimbaji wa Maji kutumia Trekta, vifaa vya Umwagiliaji, na Usafiri wa Anga (Ndege)
"Kama nikipata mfadhili wa kuniwezesha kusoma zaidi ufundi nitafura... ata nikipata kampuni ikiniajiri niwe mbunifu wa vifaa au waniwezeshe vitendea kazi mi nitabuni vitu vya maana sana" Alisema Wilson Msasa
Ukiguswa kumsaidia kijana huyu Mbunifu wasiliana nae kupitia namba yake 0689232176
0 Comments