Wanafunzi wa Kidato Cha Pili wakiwa na Magistate Msoffe ofisini kwake. Darasa hili lilikuwa walitembelea Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kujifunza kuhusu Mahakama. |
Wanafunzi wakisubiria kujifunza mengi Mahakamani. |
Wanafunzi wa Kidato cha Tatu wakiwa Shuleni kwenye Chemistry Practical |
Umeonaeeee |
Gwiji wa Kemia J4 akiwa Darasani |
Hii ndio Shule yakupeleka Mwanao |
0 Comments