BOMU LALIPUKA ARUSHA MJINI TENA

Baadhi ya majeruhi wa bomu waliolazwa ktk hospital ya selian jijini Arusha
ni hatari kwa kweli..

waliingiza mabomu keenye siasa kipumbavu sasa wengine wameiga imekuwa utamaduni... 

vivyo hivyo wasingiziavyo machafuko na ugaidi usiokuwepo ndivyo utamaduni huo katili utakavyomea..

hawa hawana mahali pa kukwepea kuharibu taifa kwa njia zao za hovyo za kujiokoa.. !! 

natumai kuna siku mabomu na ladha ya ugaidi waliouasisi kiuongouongo itawarudi wao badala ya raia wema wasio na hatia.!

neno langu sio sheria, at least nimetoa kilichoukwaza moyo!!
Watu 8 wamejeruhiwa vibaya baada ya bomu kulipuka katika Bar ya VAMA iliyopo karibu na mahakamu kuu mjini Arusha,usiku wa kuamkia leo.

0 Comments