HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE OLASITI

 Olasiti tuna tatizo kubwa la Maji kwa Wananchi wetu, Vyanzo vipo vingi ila uongozi ni wa Hovyo.. usio na ubunifu unaoipelekea Wananchi wetu Kutaabika. Tumeamua kupaza sauti yetu kupitia vyombo vya habari kuwataka Viongozi kujiuzulu na kuacha nafasi wazi sisi tushike hatamu tuwaletee maendeleo wananchi wetu.
 Katibu wa Chadema Kata ya Olasiti Daudi Mkwizu akitangaza rasmi kuwa Usafiri wa Hiace umeanza kupatikana Olasiti, anawaomba wananchi kuitumia fursa hiyo kujitokeza kwenye vituo kupakia hiace ili kupunguza garama ya usafiri.
 Olasiti tuna vyanzo na Chemchem nyingi ni viongozi Bora wamekosekana, Tuiamini Chadema


0 Comments