VIONGOZI OLASITI TUTAWAPELEKA MAHAKAMANI

Tunawataka Wenyeviti wa Mitaa ya Olasiti Kati, Kimindoros na Olaresho kuanza maramoja Uandikishaji wa Wananchi kwenye Daftari la Wakazi, kwani Kutofanya hivyo ni kosa la Jinai tutawapeleka Mahakamani.
Katibu Mwenezi wa Kata ya Olasiti Kamanda Amani akieleza kutoridhishwa kwake na Uandikishwaji wa Wakazi

0 Comments