HUU NDIO USHIRIKI WA CHADEMA KWENYE JAMII

 Nikiwa na Wananchi wa Olasiti na Viongozi mbalimbali wa Chama kwenye Msiba wa Mwalimu Paul Mang'atinda, ambaye ni mkazi wa Olasiti... Mungu akulaze pema Peponi Amen.

 Wananchi
 Kamanda Amani Ole Saruni Katibu Mwenezi wa Chadema Kata ya Olasiti akiwasilisha Salamu na Rambirambi ya Chadema kwenye Msiba
 Wananchi
 Wananchi 
KAMANDA DAUDI MKWIZU KATIBU WA CHADEMA KATA YA OLASITI KWENYE MSIBA

0 Comments