Akieleza kusikitishwa kwake na utendaji wa Polisi Arusha... alisema Hali ni Mbaya ya Usalama Arusha, wakina mama wananyang'anywa pesa, hereni, wanabakwa... Hali ni mbaya ni Dhambi Kubwa Wanaume kuwa Kimya.. Tuwatetee wanawake jamani
Mh Mbunge alisema ILI MABADILIKO YA KWELI YATOKEE LAZIMA WACHACHE WAWE MBEGU BORA, KUBALI KUWA MMOJA WAO, TUUNGANE TULETE TAIFA BORA...MH. LEMA
KAMATI TENDAJI CHADEMA WILAYA YA ARUSHA
Akieleza kuhusu Uchumi wetu, Serikali imefilisika kwa kiwango ambacho, wanatumia Trafiki kupiga
fine wananchi hadi dhulma.... ha ha ha yaani wakikosa kosa hata ukicheka
unalipia... ha ha Mh Lema
0 Comments