"Katiba inavunjwa, Rais anachekacheka tu".
Jaji Joseph Butiku.
"Siku hizi hakuna UCHAGUZI, kuna minada tu, mtu yeyote mwenye pesa siku hizi anaweza kununua uongozi".
Jaji Joseph Warioba.
"Ni bora kukubali mabadiliko wakati wanaoyadai ni wachache kuliko
kusubiri wawe wengi, wanapokuwa wengi sana, jambo wanalolidai, watalidai
kwa nguvu sana na kwa madhara makubwa na utakapolitekeleza kwa
kulazimishwa, halitakuwa salama".
Prof.Palamaganda Kabudi.
Prof.Palamaganda Kabudi.
0 Comments