Mgeni Rasmi nikiwa na Mgeni Mheshimiwa sana, tukitoa tuzo kwa Captain wa Timu iliyoshinda, mbali na kombe washindi wa kwanza walijishindia-Mbuzi na Kombe, Washindi wa Pili -Kreti ya Soda na Maji, na Msindi wa Tatu- Kreti ya Soda
Taifa Stars ya Kesho huanzia kwenye Timu imara kama hii
Mwalimu wa Michezo Msaidizi akionyesha mbwembwe
Nikihutubia wachezaji na washabiki kwenye uwanja wa Olasiti
Zawadi kwa washindi
0 Comments