KIBAKA ACHOMWA MOTO- SHINYANGA

Kibaka mmoja ambaye hakutambulika Jina mara moja alipigwa na kisha kuchomwa moto na Wananchi wenye Hasira baada yakudaiwa kuvamia nyumba moja na kupora kisha kujerui kwa mapanga.

0 Comments