![]() |
Diwani wa Olasiti (2015) nikiwa na Kamanda Daudi Mkwizu Katibu wa Chadema Kata ya Olasiti(wa Katikati) na Kamanda Cyril Mboya Mwenyekiti wa Tawi la Burka Olasiti |
![]() |
Sisi ni Viongozi tunaoamini katika Vitendo Zaidi kuliko Maneno matupu tuliajipigapiga na wadau kununua Mpira wa miguu ili kuanzisha Timu ya Mpira wa Miguu wa Chadema Kata ya Oasiti ili kudumisha Ushirikiano, Umoja, Mshikamano. Tutatumia fursa yakuwepo uwanjani kupanga mikakati ya Ushindi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa |
0 Comments