
Picha: Namna PoliceCCM wanavyotenda kazi kwa weledi wa hali ya juu!!

Hakika nimeamini kumuelimisha mtoto wa kike ni kuelimisha jamii.....
Nimepata ujasiri mkubwa sana kama mwanamke kijana mwanasiasa baada ya kupata semina kutoka K.I.C ( christian Democratic International Center).
Naamin kupitia mafundisho haya mazuri sana naenda kuwaelimisha wanawake na wasichana wenzangu kujiamin na kuchukua nafasi mbalimbali ktk uongoz.
Pili mfano mzuri ni
kupitia my Dada kipenz mh Halima J Mdee amenifanya nizidi kuwa jasiri...
Nampongeza sana ktk maandamano ya jana hakika alionesha ujasir wa hali
ya juu kama mwanamke alipambana na police mpaka kikaeleweka ktk
kupigania haki ndan ya nchi yetu.
Kwa kwel namuuombea mungu amjalie afya njema na maisha marefu.. Naamin ukomboz unakaribia.
Sifa ya kijana wa kike ni kujiamin. Naamin wanawake tunaweza.
Peoples....... ???????

Kwa kwel namuuombea mungu amjalie afya njema na maisha marefu.. Naamin ukomboz unakaribia.
Sifa ya kijana wa kike ni kujiamin. Naamin wanawake tunaweza.
Peoples....... ???????


0 Comments