EBOLA NI TISHIO TUSALIMIANE KWA KUPUNGIANA - MH NDESAMBURO

 Mh Philemon Ndesamburo Mbunge wa Moshi Mjini akitoa Pole kwenye msiba wa Mama Mkwe wa Mh Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini. Aliomba watu kusalimiana kwa kupunguana kutokana na Gonjwa hatari la Ebola.
Kamanda Mkuu, Mh Freeman Mbowe na Mkewe Lilian kwenye Msiba wa Mama Mkwe wa Mh Lema
 Katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha, Mh Kalisti(kushoto) Katibu Chadema Wilaya ya Arusha Mjini (katikati) na Mwenyekiti Chadema Wilaya ya Arusha Mjini akiwa kwenye Majonzi
 Wabunge
Mh Philemon Ndessamburo, Mh. Japhary Meya Moshi Mjini Wakiwasili Msibani

0 Comments