Mtahiki Meya Gaudence Lyimo na Naibu Meya Prosper Msoffe, majonzi yamewaleta pamoja nakusahau tofauti ya itikadi zao mbali, Meya akizungumza na Naibu wake kumshikia Mwamvuli wa M4C kumkingia jua, Uongozi si Uadui.
Mh Peter Msigwa, Mh. Joshua Nassary na Mh. Ezekiel Wenje wote wakimuunga mkono Mh Godbless Lema kwenye msiba mama mkwe wake.
Mh. Mongela Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini akitoa pole kwenye msiba wa Mama Mkwe wa Mh Godbless Lema, pembeni ni Naibu Meya Prosper Msoffe akimshikia mwanvuli. Hii ndio Siasa
0 Comments