SHULE YA MSINGI DARAJA YAFAA KUPIGWA MFANO- JIJI LA ARUSHA

Mh. Prosper Msofe Naibu Meya Jiji la Arusha na Diwani wa Daraja Mbili akisikiliza jambo toka kwa mwananchi wake. Ni kiongozi Msikivu
 Mh Naibu Meya Akizungumza na Wazazi wa wanafunzi wa shule ya msingi Daraja mbili- Mada kuu zilikuwa Taaluma na Nidhamu- Kiongozi Shirikishi

 Ubunifu ni Jambo la Kupigwa mfano pia Badala  ya kuwa na bustani za maua tuu wamepanda mbogamboga na ndizi kwa faida ya wanafunzi


0 Comments