Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman
Mbowe akiondoka katika kijiji cha Buhigwe mkoani Kigoma, baada ya
kuhutubia mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM, uliofanyika
kijijini hapo juzi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman
Mbowe akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Buhingwe katika mkutano wa
hadhara wa Operesheni Delete CCM, uliofanyika juzi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
akiwahutubia wananchi wa Kasulu katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni
Delete CCM, uliofanyika juzi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Freeman
Mbowe akilakiwa na wanawake wa kijiji cha Mwamugongo mkoani Kigoma,
ambako waliwasili juzi kuhutubia mkutano wa Operesheni Delete CCM.
0 Comments