BIASHARA YA UKAHABA YAANZA KUPATA BARAKA ZA BUNGE MDOGO MDOOOOGO



 
Farida N. Shaban's photo.
Inasemaka leo usiku katika Ukumbi wa DODOMA HOTEL iliyopo katika Mji wa Dodoma,
Kumeandaliwa WAREMBO wa KUKATA NA SHOKA watakaofanya Maonesho ya MIILI yao kwa ajili ya Kuwapa BURUDANI Waheshimiwa Wabunge wa BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Warembo hao leo asubuhi WALIFIKA ndani ya Ukumbi wa Bunge kwa ajili ya UTAMBULISHO wao kwa Wabunge,
Mhe. Naibu Spika alisema:
''TUNAWAJULISHA WAHESHIMIWA WABUNGE KUWA LEO USIKU KATIKA UKUMBI WA DODOMA HOTEL KUTAKUWA NA MAONESHO YA WAREMBO WETU WA UTALII, AMBAYO MAONESHO HAYO YAMEANDALIWA KWA AJILI YENU WAHESHIMIWA WABUNGE.

KWAHIYO WAHESHIMIWA HAYA MAONESHO 2 WAREMBO NI KWA AJILI YENU.
MNAOMBA MFIKE DODOMA HOTEL,
MKABURUDIKE!

PAMOJA NA MAONESHO HAYO YA WAREMBO,
KUTAKUWEPO NA BURUDANI NYENGINE NYINGI NYINGI TU KAMA VILE MUZIKI.......''

Hayo ni Maneno ya Naibu Spika akiwahamasisha Wabunge wajitahidi sana kuhudhuria kwenye WAREMBO hao Wakajichagulie!
Hawezi kusema waziwazi kuwa NENDENI MKAJICHAGULIE MILUPO,
Lakini kwa Watu wazima huwa washajuwa maneno ya Kijitukizima yana mafumbo!
Je! Yuko atakaebaki NJIA KUU?
 

0 Comments