MBUNGE WA ARUSHA MJINI AVAMIWA

Mh Godbless Lema akieleza tukio kwa nje ya Central Police Arusha baada kutoka kuandika maelezo, Umati wa Wananchi wa Arusha Mjini walifurika kujua hatma ya Kiongozi wao... kama unavyoona picha ni Usiku saa5, Pole sana Mh Mbunge Wetu
GARI LA MH MBUNGE WA ARUSHA MJINI, MH GODBLESS LEMA LIMEVUNJWA KIOO NA WATU WASIOJULIKANA
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Arusha Mjini Magoma Derick Magoma akihakikisha Mbunge yupo shwari pamoja na dhoruba hii

0 Comments