YOTE HAYA YATAISHA TU

Mmoja wa Wananchi wa Kata ya Kaloleni amepigwa kichwani na kitu chenye ncha kali, kimsingi kuna matukio ya upigwaji na kutishiana baina ya wananchi kutokana na uchaguzi wa serikali ya Mitaa... Jeshi la Polisi tunaomba ulinzi Uimarishe siku ya Uchaguzi tar14/12/2014

0 Comments