![]() |
Mwimbaji
mahiri wa nyimbo za Injili nchini,Rose Mhando akiwasha moto wa kamata
pindo la Yesu katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka, lililofanyika
katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015.
![]() |

Uimbaji wa hisia ulitawala kwenye tamasha hilo.

Keki iliyokatwa ilipitishwa pia kwa watazamaji mbalimbali na kujipatia japo kipande.


Mwimbaji John Lissu na waimbaji wake pichani juu wakilishambulia jukwaa vilivyo.

Shabiki wa nyimbo za injili akionekana kuguswa

Ilikuwa ni shangwe za furaha kwa aliyekuwa akiguswa na nyimbo za kiroho.

Mdau
wa muziki wa Injili Emmanuel Mbasha akipa kitu cha Selfie na rafiki
yake ndani ya uwanja wa Taifa wakati tamasha Pasaka lililofanyika April 5
jijini Dar na kuhudhuriwa na maelfu ya watu



Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini anayefahamika
kwa jina la Rebecca Malope akitoa burudani katika Tamasha la kumi na
tano la Pasaka, lililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es
Salaam, Jumapili 5, 2015.

Baadhi ya Waimbaji wa Rebecca Malope wakiimba jukwaani.


Kila mmoja aliyefika kwenye tamasha hilo la pasaka aliburudika na kuguswa kwa aina yake.




Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini,Rebecca Malope
akitoa burudani katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka, lililofanyika
katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015.
Rebecca Malope akiimba kwa hisia


Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Rebecca Malope
akitoa burudani katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka, lililofanyika
katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015.

Mwanamuziki
wa Kimataifa wa nyimbo za Injili kutoka nchini Afrika Kusini,Rebecca
Malope akicheza na shabiki wake kwa staili ya pekee kabisa,huku uwanja
ukilipukwa na mayowe kila kona.

Wengine waliamua kuburudika kwa hivi

Mwanamuziki Rebecca Malope akionesha umahiri wa kuziteka hisia mashabiki wake kwa kuzunguka nao uwanjani



Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini, Mchungaji Solly Mahlangu mwanamuziki nguli akiimba na kucheza katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka, lililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015.

Kwa kile aliyekuwa akiguswa na nyimbo za injili ilikuwa ruksa kuinua mikono hewani kama hivi pichani.

Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Joshua na vijana wake wakilishambulia jukwaa

Sehemu ya umati wa watu wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye jukwaa la tamasha la pasaka.

Mwimaji
Chritina Shusho akiimba katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka,
lililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5,
2015..


0 Comments