Wafanyabiashara wa JIJI la Arusha wamechukua hatua kwenda ofisi ya Mstahiki Mayor Kalisti Lazaro wakidai Mikataba ya ofisi walizopangisha Maeneo mbali mbali ya jiji wakidai wamelipia pango lakini awajapatiwa Mikataba.
Kiutaratibu Mpanggishaji yaani Jiji la Arusha kupitia Mkurugenzi wake ilitakiwa wawe wameshawapa mikataba hiyo kwakuwa wafanyabiashara(Wapangaji) wameshalipa fedha kwaajili ya pango.
0 Comments