CHANJO YA MABUSHA NA MATENDE YATOLEWA -DAR

Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam wametakiwa kujitokeza kumeza dawa za kinga ya mabusha na matende ili kujikinga na magonjwa hayo katika vituo 957 vya kudumu vilivyoweka.

Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Grace Maghembe kuwa mwaka 2015 lengo ilikuwa kugawa dawa kwa watu milioni 4 ila waligawa kwa watu milioni 3.9 sawa na asilimia 80.http://www.mwananchi.co.tz/habari/Dawa-za-mabusha--matende-zaanza-kutolewa-Dar/1597578-3429176-15n1e98z/index.html  

0 Comments