UJENZI WA HOSPITALI YA MAMA NA MTOTO YAANZA -ARUSHA

Ujenzi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Arusha iliyoasisiwa na Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema kupitia taasisi yake  ya ArDF (Arusha Development Fund) umeshaanza na sasa unaendelea eneo la Matevesi, Arusha District chini  ya ukandarasi wa kampuni ya kichina kwa udhamini wa taasisi ya Maternity Africa na Mawalla Advocates.

Baada ya mwaka mmoja wamama na watoto wa Tanzania wataanza kupata huduma ya afya na kupunguza angalao tatizo upungufu wa huduma hiyo kwa mama na mtoto.

0 Comments