USAFIRI NI TABU ILA HII DHAMBI

Pamoja na ukata ila Shule ziwe na magari bora yakuwafikisha watoto shule, Imeripotiwa katika vyombo mbalimbali vya habari kuwa gari hili maarufu kama School Bus lilikamatwa na polisi kwa kuwawabeba watoto hawa katika sehemu ya kuhifadhiwa kama mizigo kama inavyoonekana pichani.

0 Comments