MAFUNZO YA UNUNUZI NA UGAVI YATOLEWA


 Mkurugenzi wa Fedha na Utawala (PSPTB) Bw. Paul Bilabaye akifunga mafunzo akitoa mada katika mafunzo yaliyotolewa na bodi hiyo kwa wataalamu wa Ununuzi na Ugavi kutoka Mfuko wa Misitu (TFF).

Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia mada mbalimbali katika mafunzo hayo.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi wa Umma (PSPTB) Bw. Godfred Mbanyi akizungumza na Amosi Kasinza Afisa Mkuu wa Utafiti na Ushauri PSPTB wakifuatilia mafunzo hayo.

  Amosi Kasinza Afisa Mkuu wa Utafiti na Ushauri PSPTB akitoa mada  mafunzo hayo.

Patricia Manonga Afisa Miradi wa Mfuko wa Misitu akishukuru Uongozi wa bodi ya (PSPTB) kwa kutoa mafunzo hayo.

Dk. Tuli Msuya Katibu Tawala wa Mfuko wa Misitu Tanzania TFF akishukuru kwa wataalam wa mfuko huo kupata mafunzo hayo ambayo ni muhimu sana kwao kama wataalam wa Ununuzi na Ugavi wa Umma.

Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Mfuko wa Misitu Tanzania Bw.Kelvin Mtei akitoa neno la shukurani kwa bodi ya (PSPTB) kwa kuwapa mafunzo hayo.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi wa Umma (PSPTB) Bw. Godfred Mbanyi akikabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo hao mmoja wa washiriki wa mafunzo.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi wa Umma (PSPTB) Bw. Godfred Mbanyi akisisitiza jambo wakati alipokuwa akifunga mafunzo hayo.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi wa Umma (PSPTB) Bw. Godfred Mbanyi pamoja na baadhi ya  wataalam wa Bodi ya PSPTB wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo hayo.

0 Comments