WANAFUNZI 1,000 WA VYUO VIKUU VYAKUTANA DAR

 Mwanzilishi wa Saccos cha Wanawake Wajasiriamali Tanzania (TASWE) Dkt. Anna Matindi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Vijana kutoka Vyuo Vikuu vya ndani na nje ya nchi,leo Jijini Dar es Salaam.  Kushotoni Katibu wa Chama cha Vijana Wajasiriamali – Taswe Bi. Adelaida Ngowi. Mkutano huo unatarijiwa kufanyika tarehe 24 Machi, 2017 katika ukumbi wa Kardinali Rugambwa Osterbey huku kauli mbiu yake ikiwani “Badilisha Mtazamo wa Vijana wajielekeze katika Sekta Binafsi” .

Mwanzilishi wa Chama cha Kuweka na Kukopa cha Wanawake Wajasiriamali Tanzania (TASWE) Dkt. Anna Matindi akizungumza na waandishi wa habari kuhusukuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Vijana kutoka Vyuo Vikuu vya ndani na nje ya nchi,leoJijini Dar es Salaam.  Kutoka kushoto ni Katibu wa Chama cha VijanaWajasiriamali – Taswe Bi. Adelaida Ngowi, Mwanachama wa Taswe Bi. Grace Kimaro. Mkutano huo unatarijiwa kufanyika tarehe 24 Machi, 2017 katika ukumbi wa Kardinali Rugambwa Osterbey huku kauli mbiu yake ikiwa ni “Badilisha Mtazamo wa Vijana wajielekezekatika Sekta Binafsi” .

 Mwanachama wa Chama cha Kuweka na Kukopa cha Wanawake Wajasiriamali Tanzania (TASWE) Bibi. Leah Paul Dennis akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habar ikuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Vijana kutoka Vyuo Vikuu vya ndani na nje ya nchi,leo Jijini Dar es Salaam.  Kutoka kushoto ni Katibu wa Chama cha VijanaWajasiriamali – Taswe Bi. Adelaida Ngowi,Mwanzilishiwa Chama hicho Bibi.Anna Matinde na Bi. Grace Kimaro. Mkutano huo unatarijiwa kufanyika tarehe 24 Machi, 2017 katika ukumbi wa Kardinali Rugambwa Osterbey huku kauli mbiu yake ikiwani “Badilisha Mtazamo wa Vijana wajielekeze katika Sekta Binafsi”

0 Comments