Ni kweli tukitumia kigezo cha idadi ya wasichana darasani, kwenye shule zetu wasichana wanaongoza, ila chaajabu kwenye matokeo asilia zaidi ya 50% wanaopata daraja sifuri ni wasichana.
Ni wito wangu kutathmini ubora wa wasichana wanaojiunga na Sekondari zetu ili tusiwalinganishe kwa idadi bali ufaulu?
0 Comments