Waziri Angellah Kairuki amesema kuanzia sasa Watumishi wa Umma hawatopanda vyeo wala madaraja hadi wapitie mafunzo maalumu kwanza.
-Amesisitiza utaratibu huo utaanza mapema iwezekanavyo na kuwataka Watumishi wa Umma kufuata utaratibu utakaoainishwa.

0 Comments