Bi. Doreetha Daniel anakuwa mwanamke wa kwanza dunia kuhitimu Chuo cha Canyons nchini Marekani akiwa na umri wa miaka 99.
Ajuza huyu anatoa ujumbe kwa watoto na watu wenye umri chini yake kuwa hakuna umri wa mwisho kujielimisha.

0 Comments