CHEKELENI NI MLEMAVU WA MIKONO, ANANDOTO ZA KUWA NESI

Nikiwa katika Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara nimekutana na mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi MKWAPA , iliyopo Wilayani humo Mkoani Mtwara CHEKELENI RASHID ambaye amezaliwa akiwa na ulemavu wa mikono( amezaliwa akiwa hana mikono) mwenye ndoto za kuwa Nesi.

0 Comments