MAWE YENYE DHAHABU YACHANGIA UTORO MASHULENI - NYAMONGO

Wanafunzi wa shule mbalimbali karibu na mgodi wa North-Mara wamekuwa hawafiki shule kwasababu ya kuokota mawe yenye dhahabu kwa nia ya kujipatia kipato.

0 Comments