MEYA JIJI LA ARUSHA AZINDUA MADARASA

Meya wa Jiji la Arusha Mhe.Kalist Lazaro akiambatana na kamati nzima ya Elimu , leo wazindua rasmi madarasa ya shule za msingi Sinoni.

Akizungumza wakati wa uzinduzi Mh Kalist Lazaro alisema " nawapongeza madiwani kwa kutetea na kusimamia mradi huu, naipongeza kamati za shule kwa ushirikiano wenu kuwezesha ujenzi bora wa madarasa haya"

0 Comments