Mzee wa miaka 78 ajiunga na darasa la kwanza Tanzania
Waswahili husema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni, na elimu siku zote haina mwisho.
Nchini Tanzania mzee wa miaka 78 amejitosa na kuanza darasa la kwanza mara tu baada ya kuhitimu masomo yake ya awali.
Mzee Nyamhanga Seguta alifikia uamuzi huo baada ya kuteseka sana na mahesabu katika biashara yake ya kuuza ndizi.
Mwandishi wa BBC Munira hussen alifika hadi nyumbani kwake na kuandaa taarifa ifuatayo.
0 Comments