UKITAKA ELIMU BORA, BORESHA WALIMU- PROF SHIVJI

"Ukitaka taifa bora boresha elimu, ukitaka kuboresha elimu, boresha waalimu, ukitaka taifa la watu wanao jiheshimu heshimu waalimu" Prof. Issa Shivji

Kwa nukuu hii; Ili Tanzania iheshimiwe lazima iheshimu walimu, ni fedhea iliyoje kumpeleka mwalimu wa #Sekondari kwenda kufundisha shule ya #Msingi huku ni #kutoheshimu taaluma ya #Ualimu. Kila kukicha Elimu yetu imekuwa taaluma rahisi kufanyiwa #Majaribio kwasababu za #kisiasa na si za #kitaaluma.

Embu niulize: "Inawezekana kumbadilishia kazi Mwanajeshi kwenda kufanya kazi ya Polisi? Nadhani haiwezekani.

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ieheshimu walimu, ili iendelee kuheshimiwa #Siasa isiingilie #Taaluma.


0 Comments