WANAFUNZI WATEMBELEA AIRTEL


 

Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa Airtel Tanzania, Patrick Foya akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aga Khan, waliofanya ziara ya mafunzo katika makao makuu ya Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam.

 Afisa Huduma kwa Wateja wa Airtel Tanzania, Stephen Makongoro akifafanua jambo Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aga Khan waliofanya ziara ya mafunzo katika makao makuu ya Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Franky Filman akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aga Khan waliofanya ziara ya mafunzo katika makao makuu ya Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam

0 Comments