AFRIKA UTAMBULISHO WANGU

Leo ni siku ya Afrika, Naipenda Afrika, najivunia kuzaliwa Tanzania na ndio mama yangu, ila kimsingi sijivunii kwasababu ya rangi, si kweli kuwa watu weusi ndio waafrika, ukifuatilia kwa kina utagundua #Afrika ndio chimbuko la mwanadamu, ukiingia ndani zaidi unagundua kila kilichotajwa kwenye vitabu vitakatifu vinapatikana #Afrika hasa Tanzania, ukienda mbele zaidi #Elimu ilianzia #Afrika pia, tuthaminiane waafrika.

Kama hiyo haitoshi hata zama zote kuanzia za mawe mpaka za chuma ushahidi wake upo #Afrika, wagunduzi wa hasa ya chuma na teknologia zingine walianzia #Afrika.

Naipenda Afrika, Tanzania ndio mama yangu nitaendelea kujivunia kuzaliwa #Afrika.

Elimu Afrika

0 Comments