Kwa katuni hii;
Leo ni siku ya Afrika, jamii nyingi za kiafrika zinadhani kwa kuiga za ugaibuni ndio ustaarabu. Ni wakati wa kuheshimu vya Afrika na kuenzi urithi mwema toka kwa waasisi wetu, lakini kitakachotufikisha mbali zaidi ni #Elimu ninatamani siku moja mitaala ya Afrika ikajikita kiualisia na mazingira yake ili kujikwamua na utegemezi, elimu ndio ukombozi wa mwafrika.
Elimu Afrika
0 Comments