Karibu Arusha Journalism Training College tukamilishe ndoto zako kwani tunao wakufunzi bora wenye vigezo vinavyotambulika katika kutoa mafunzo kwa mtaala wa NACTE.
Arusha Journalism Training College ina mazingira rafiki ya kujifunzia na kumwandaa mhitimu kuibuka mshindi katika ushindani wa soko la ajira.
Arusha Journalism Training College imejipanga kukupatia mafunzo ya ziada bora kama Ujasiriamali na Ubunifu.
Zaidi ya yote itawekeza na kusimamia kipaji chako kiwe ajira itakayokukomboa kijamii na kiuchumi kwa faida ya Taifa.
Karibu sana
AJTC foremost media college in Tanzania
Tutembelee pia www.ajtc.ac.tz
Tusikilize www.ajtcradio.myl2mr.com
Na tupigie 0784769615, 0755780131 na 0655508071
0 Comments