Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Graceana Shirima (kushoto) akifurahia jambo na Ofisa Elimu wa Sekondari wa Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro, Omath Sanga baada ya kukagua majengo na miundombinu ya mifumo mbalimbali ya shule kongwe ya Sekondari Mzumbe, juzi. TEA inaendesha mradi wa kukarabati Shule kongwe za sekondari za Serikali.
0 Comments