Wanafunzi wa Sekondari za Wilaya Ngara, Mkoa wa Kagera wanakabiliwa na uhaba wa maji unaathiri elimu. Wanafunzi wa Shule za Sekondari wamekuwa wakipoteza muda mwingi wakienda kuteka maji, hivyo kuathiri muda wao wakimasomo.
Hali hii huwenda ikaathiri ufaulu wa Wanafunzi ambapo mwisho wake hautakuwa mzuri, niombe wadau waelimu kuchukua hatua kuwawezesha watoto wetu kupata muda wakutosha kujifunza.
0 Comments