TUCHANGIE KWAAJILI YA MOYO

Ninaunga mkono uchangiaji huu, umenikumbusha #Mama yangu mzazi, aliugua #Moyo hakuweza kutabasamu tena kama ilivyokuwa awali, hakuweza kula alichokitaka kama ilivyokuwa awali, lakini aliendelea kuwa na amani kwasababu watoto wake wengi wao walikuwa wameshaweza kujitegemea.

Najua mgonjwa wa moyo anavyoteseka, ni hamasishe na wenzangu kuchangia kwa hali na mali.

Elimu Afrika

0 Comments