ATE YAKABIDHI VYETI KWA WAHITIMU WA MAFUNZO MUHIMU


Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako (wa pili kushoto) akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya programu ya Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) ya Mwanamke wa Wakati Ujao, Meneja Mwandamizi Uhusiano na Mawasiliano wa Benki ya TPB, Noves Moses wakati wa mahafali yao jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa ATE, Almas Maige.

0 Comments