Kila siku watanzania tunatamani #Elimu bora, lakini sisi wenyewe hatutaki kuwa bora, ubora wa Elimu lazima ufikiwe kwa kuthamini vitu vidogo vidogo ambavyo ndivyo vitakavyo tufikisha kwenye vitu vikubwa.
Tunatamani kuwa na wataalamu mbalimbali wenye ubora, lazima tujikite kwenye #kuthamini.
Elimu Afrika
0 Comments