ELIMU HAINA MWISHO

NIGERIA: Serikali imepanga kuanzisha shule maalum kwaajili ya Wanawake walioolewa ambao waliacha shule kwaajili ya kuingia kwenye maisha ya ndoa.

- Utaratibu huo utawapa nafasi Wanawake waliokatiza masomo yao baada ya kuolewa watapata fursa ya kuendelea na elimu yao huku wakiwa katika ndoa.

Nasi tunaunga mkono Wizara ya Elimu imetenda UTU ambacho ni kitu adimu kwa baadhi ya nchi, ni jambo la kupiga mfano.

Tuwasisitize tu;
"Mjitahidi kujielimisha kwa kadri ya uwezo wenu na kutumia elimu hiyo kwa faida ya wote"

Tufuatilie kupitia, Instagram: @elimuafrika, Facebook: Elimu Afrika, Twitter: @ElimuAfrika na YouTube: Elimu Afrika  #SiasaIsiingilieTaaluma.

0 Comments